Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kamanda wa waasi Rwanda ajisalimisha kwa MONUSCO

Kamanda wa waasi Rwanda ajisalimisha kwa MONUSCO

Kiongozi mmoja wa kundi la waasi nchini Rwanda aliyekuwa mafichuni kwa muda mrefu, amejisalimisha kwa vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa MONUSCO.

Lt-Colonel Samuel Bisengimana aliyekuwa afisa wa zamani wa jeshi alitorokea katika jimbo la Kaskazini mwa Kivu wakati wa mauwaji ya halaiki ya nchi hiyo mwaka 1994.

 

Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky, amesema kuwa kujisalimisha kwa kiongozi huyo ni pigo kubwa kwa chama cha FDL