Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bank ya Dunia yaonya kuhusu matatizo ya afya Asia:

Bank ya Dunia yaonya kuhusu matatizo ya afya Asia:

Ripoti iliyotolewa leo na Bank ya dunia inaonya kwamba nchi za Asia Kusini zinakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya kukiwa na ongezeko la magonjwa kama ya kisukari, mfuta mwilini kupita kiasi na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza.

Ripoti inasema na kwa sasa magonjwa hayo yanawakumbwa watu masikini na kuongeza athari za ulemavu, vipo vya mapema na umasikini kutokana na watu kulipa gharama kubwa kutibu maradhi hayo. Imeongeza kuwa matatizo ya moyo ndiyo yanayoongoza kwa vifo ya watu wa umri wa miaka kati ya 15 hadi 69. George Njogopa ana ripoti.

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)