Hatua zikichukuliwa kupunguza majanga maisha yatanusurika:Ban

9 Februari 2011

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon akizungumza kwenye mkutano huo wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa amesema mwaka jana ulighubikwa na majanga.

Majanga hayo ni kuanzia tetemeko Haiti, Chile na Uchina, mafuriko Pakistan na Ulaya, moto Urusi na Marekani na pia vimbunga Asia majanga yaliyokatili maisha ya watu wengi ambayo yanweza kuzuiwa.

Ameongeza kuwa wakati wakijiandaa na mkutano wa 2012 wa maendeleo endelevu huko Rio de Jeneiro ni dhahiri kwamba upunguzji majanga na viongozi wanatakiwa kuwa msitari wa mbele.

(SAUTI YA BAN KI-MOON)

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter