Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

IOM kuzindua mpango wa kuwasaidia wahamiaji waliokwama Tanzania:

IOM kuzindua mpango wa kuwasaidia wahamiaji waliokwama Tanzania:

Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM na serikali ya Tanzania wiki hii wanazindua mpango kuwasaidia wahamiaji wa mara kwa mara waliokwama nchini Tanzania.

Uzinduzi huo utakaofanyika tarehe 10 mwezi huu utahudhuriwa pia na balozi wa Japan Tanzania Hiroshi Nakagawa ambao ni miongoni mwa wafadhili wa mpango huo, Katibu mkuu wa wizara ya mambo ya ndani wa Tanzania Mbarak Abduwakil na mkuu wa IOM nchini humo Par Liljert. George Njogopa anayo taarifa kamili

(RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)