Skip to main content

Wiki ya mawasiliano ya habari imeanza:UM

Wiki ya mawasiliano ya habari imeanza:UM

Wiki ya mawasiliano ya habari imeanza kuadhimishwa katika miji mbalimbali duniani ikiwemo New york.

Wiki ya mawasiliano ya hbari imeanza kuadhimishwa katika miji mbalimbali duniani ikiwemo New york. Maadhimisho hayo yanajumuisha matukio zaidi ya 160 na yanatumika kama uwanja wa kimataifa wa kuwaunganisha watu, matukio na mazungumzo kwa kupitia masuala yanayoibuka ya teknolojia ya mtandao na habari kwa njia ya simu.

Umoja wa Mataifa unashiriki katika baadhi ya mijadala ukiwepo wa Open UN kujihusisha na muda na wakati uliopo. Mjadala huo unaendeshwa na kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachofahamika kama Global Pulse na unafanyikia kwenye makao makuu ya Google hapa New York.