Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakuu wa UNFPA na UNICEF wapinga tohara ya wasichana

Wakuu wa UNFPA na UNICEF wapinga tohara ya wasichana

Katibu mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalotolea misaada akina mama watoto na wanaume UNFPA Babatunde Osotimehin na mkurugenzi wa shirika la kuwahudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF Antony Lake kwa pamoja wamepiga tohara ya wasichana

wakisema kuwa watoto wasichana wana haki ya kukua bila kupitia vitendo vinavyohatarisha afya zao. Lakini hata kila mwaka wanawake na wasichana milioni tatu barani Afrika pekee huwa wanakabiliwa na desturi hii desturi ambayo ina mathara ya kiafya ya muda mrefu na ambayo pia inakiukla haki zao za kibinadamu. Alice Kariuki anaripoti

(RIPOTI YA ALICE KARIUKI)