Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake wanaoshi maeneo ya vijijini wanakabiliwa na ukosefu wa usawa wa kijinsia:UM

Wanawake wanaoshi maeneo ya vijijini wanakabiliwa na ukosefu wa usawa wa kijinsia:UM

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinsia na ajira ya kazi za shambani inaonyesha kuwa wakawake bado wananufaika kwa asilimia ndogo kuliko wanaume katika upande wa ajira katika sehemu za vijijini suala ambalo linachangiwa na hali mbaya ya uchumi na uhaba wa chakula.

Ripoti hiyo pia inasema kuwa kando na changamoto zilizopo kuhusiana na jinsia na ajira katika sehemu za vijijini hali mbaya ya sasa ya uchumi na chakula vimetatiza maendeleo katika kuwepo kwa usawa wa kijinsia. George Njogopa na taarifa kamili.

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)