Skip to main content

Wafanyikazi wahamiaji wana wajibu mkubwa kwa nchi za magharibi:IOM

Wafanyikazi wahamiaji wana wajibu mkubwa kwa nchi za magharibi:IOM

Ripoti mpya kuhusu wajibu wa wafanyikazi wahamiaji wanaofanya kazi za kuangalia watu wazee inasema kuwa watu wazee wanaweza kuwa changamoto kubwa kwa mataifa ya magharibi yaliyostawi hususan kupitia huduma zinazohitajika kuangalia idadi inayoendelea kuongezeka ya watu wazee.

Kulingana na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM ni kuwa wafanyikazi wahamiaji wametekeleza wajibu mkubwa wa kuwaangalia watu wazee kwa muda mrefu. Flora Nducha na taarifa kamili

(SAUTI YA FLORA NDUCHA)