Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Pande husika Sudan zimetakuwa kujadili suala la Abyei

Pande husika Sudan zimetakuwa kujadili suala la Abyei

Uongozi wa Sudan Kaskazini na Kusini umetakiwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kuanza na kukamilisha mazungumzo haraka iwezekanavyo kuhusu jimbo lenye utajiri wa mafuta linalogombewa la Abyei.

Mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan UNMIS umeongeza shughuli zake za doria na uko tayari kupeleka vikosi vyake katika eneo hilo endapo itahitajika.