Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ban na Rais wa Jamuhuri ya Korea wajadili hali katika eneo hilo

Ban na Rais wa Jamuhuri ya Korea wajadili hali katika eneo hilo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon na Rais wa Jamhuri ya watu wa Korea wamejadili hali ya sasa kwenye rasi ya Korea.

Katika mazungumzo yao kwa njia ya simu Ban amerejea msimamo wa Umoja wa Mataifa wa kutoa msaada ili kusaidia amani na utulivu kwenye eneo hilo.

Katika mazungumzo yao Ban amesema anashukuru kwa nia ya Rais Lee Myung-baks ya kutaka kutatua masuala ya nyuklia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea DPRK kwa njia ya mazungumzo ya pande sita. Jason Nyakundi na ripoti kamili.

(SAUTI YA JASON NYAKUNDI)