Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mikataba ya mazingira imepata msukumo wa kielimu kutoka UNEP

Mikataba ya mazingira imepata msukumo wa kielimu kutoka UNEP

Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP linasema elimu ni muhimu katika kutekeleza mikataba inayohusiana na masuala ya mazingira.

Kwa miongo mine iliyopita jumuiya ya kimataifa imeanzisha na kupitisha makubaliano mbalimbali ya mazingira ambayo chini ya sheria za kimataifa ni muhimu sana katika kuzisaidia nchi kufanya kazi pamoja katika masuala ya kimataifa ya mazingira.

Kwa kutambua kwamba makubaliano hayo yatafanikiwa tuu endapo yatatekelezwa, UNEP kwa miaka mingi imeandaa miongozo na nyara za kuelemisha kuhusu umuhimu wa kulinda mazingira Jayson Nyakundi na ripoti kamili.

(SAUTI YA JAYSON NYAKUNDI)