Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

WHO imetoa ripoti ya kwanza ya kimataifa kuhusu matatizo ya ulevi

WHO imetoa ripoti ya kwanza ya kimataifa kuhusu matatizo ya ulevi

Ili kuzuia na kutibu athari za ulevi wa kupindukia na matumizi ya mihadarati, shirika la afya duniani WHO leo limezindua ripoti ya kwanza ya dunia kuhusu nyezo zinazotumiwa hivi sasa kukabiliana na hofu ya matatizo hayo ya kiafya.

(SAUTI YA JAYSON NYAKUNDI)