Mwakilishi Maalumu wa Masuala ya chakula wa UM kuzuru Uchina kwa mara ya kwanza

Mwakilishi Maalumu wa Masuala ya chakula wa UM kuzuru Uchina kwa mara ya kwanza

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki ya chakula Olivier de Schuter atafanya ziara maalumu katika Jamhuri ya watu wa Uchina kuanzia Jumatano wiki hii hadi tarehe 23 Desemba 2010.

Hii ni ziara ya kwanza kwa mtaalamu wa kujitegemea aliyeteuliwa na baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kuzuru nchini humo kuangalia na kutoa taarifa kuhusu haki ya chakula. Jayson Nyakundi na taarifa kamili.

(SAUTI YA JAYSON NYAKUNDI)