Akina mama na watoto wachanga wafa Somalia kufuatia ukosefu wa wahudumu wa afya

Akina mama na watoto wachanga wafa Somalia kufuatia ukosefu wa wahudumu wa afya

Shirika la afya duniani WHO linasema kuwa maelfu ya akina mama na watato wachanga wanakufa nchini Somalia kutokana na kuwa kuna uhaba wa wahudumu wa afya.