Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Siku ya kimataifa ya haki za binadamu, UM yawapongeza watu wanaosimama na kutetea haki

Siku ya kimataifa ya haki za binadamu, UM yawapongeza watu wanaosimama na kutetea haki

Huku siku ya kimataifa ya haki za binadamu ikisherekewa hii leo Umoja wa Mataifa imetumia siku hii kuwapongeza maelfu ya mashujaa ,na watetezi wa haki za binadamu ambao wanahatarisha maisha yao kuwatetea wengine.

(SAUTI YA BAN KI MOON)

(SAUTI YA NAVI PILLAY)

Naye mwakilishi wa katibu muu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Augustine Mahiga ametaka serikali ya mpito ya Somalia kuweka kipaumbele haki za binadamu kabla ya kumalizika kwa muda wa kuhudumu kwake.