Siku ya milima duniani kuadhimishwa juma hili
Siku ya milima duniani ya kila mwaka inaadhimishwa tarehe 11 mwezi huu.
"Milima ni karibu asilimia 20 ya ardhi yote duniani , karibu asilimia 10 ya watu duniani wanaishi kwenye milima lakini asilimia 50 ya watu duniani wanategemea milima kwa mahitaji kama maji , asilimia 50 ya maji yanayotumiwa na wanadamu inatoka kwenye milima"