Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

FAO yatoa kitabu kusifia mmea wa mkaukau

FAO yatoa kitabu kusifia mmea wa mkaukau

Shirikala la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO limechapisha kitabu kama ishara ya kusherekea mafanikio ya zao moja ambalo linaweza kustahimili kwenye mazingira ya aiana mbalimbali.

Kutokana na anuia yake, mmea huo unaojulikana kama mkau kau unazalishwa ulimwenguni kote na unaleta faida kuwa kwa mamamilioni ya wakulima lakini pia kulinda mazingira.

Kitabu hicho kiitwacho "Bustani ya anuwai" pia kimetambua mchango ulioletwa na FAO juu ya uendelezwaji wa zao hilo duniani kote.Mmea huo una historia ya nchi za Armenia, Azerbaijan na Georgia.