Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hatua iliyopigwa Kenya kutimiza lengo la milenia la usawa wa kijinsia

Hatua iliyopigwa Kenya kutimiza lengo la milenia la usawa wa kijinsia

Tatizo la kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia katika nchi nyingi zinazoendelea bado ni kubwa.

Bila ukombozi wa mwanamke huwezi kuikomboa jamii na matatizo kama ya umasikini na maendeleo dunia. imesalia miaka mitano tuu kabla ya kutimia 2015 muda wa mwisho wa kutimiza malengo hayo. Japo hatua zimepigwa kwa baadhi ya nchi lakini bado linasuasua. Je nchini Kenya wamefikia wapi? Jayson Nyakundi anadadisi.