Skip to main content

Maendeleo katika huduma za simu na mtandao yaimairisha mawasilino katika nchi za Asia na Pacific

Maendeleo katika huduma za simu na mtandao yaimairisha mawasilino katika nchi za Asia na Pacific

Serikali kwenye nchi za Asia na Pacific zimeafikiana kuimarisha miundo mbinu ya mawasiliano ambayo itachangia kuwepo kwa maendeleo katika huduma za mawasiliano ya simu za mkononi na kwenye mtandao kama moja ya njia za kuimarisha maendeleo.

Hili ndilo suala kuu lililoafikiwa kwenye mkutano wa kamati inayohusika na teknolojia ya habari na mawasiliono ya Umoja wa Mataifa kuhusu uchumi katika nchi za Asia na Pacific ESCAP uliondaliwa kati ya tarehee 24 na 26 mwezi huu. George Njogopa na taarifa kamili

(SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)