Hali ya upatikanaji maji Afrika yazidi kushuka-UNEP

26 Novemba 2010

Ripoti moja imesema kiwango cha upatikanaji maji kwa kila mtu barani Afrika kimeanza kushuka.

Ripoti hiyo ambayo imechapishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na mazingira (UNEP). Kufuatia utafiti uliofanywa kuhusu hali ya maji barani Afrika imesema kuwa hali hiyo inatia wasiwasi kama bara hilo litaweza kufikia shabaya ya malengo ya maendeleo ya mellenia amabyo inataka 2015, kuwepo kwa upigaji hatua mkubwa kupunguza nusu ya watu wanaokosa maji safi ya kunywa na salama

Kulingana na ripoti hiyo, imelaaumu kuwa licha ya bara hilo lenye nchi 53 kujaliwa na maliasili za kila aina, lakini chakushangaza ni kwamba nchi hizo zimeshindwa kupiga hatua

 

♦ Kurambaza ukurasa mahsusi wa Siku ya Kiswahili Duniani bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter