Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ulimwengu washiriki maadhimisho ya pili ya ugonjwa wa Nimonia

Ulimwengu washiriki maadhimisho ya pili ya ugonjwa wa Nimonia

Mji wa Geneva pamoja na mashirika mengine ya kimataifa yameshiriki kwenye maadhimisho ya pili ya ugonjwa wa nimonia yaliyoandaliwa kutoa hamasisho kuwa zaidi ya watoto milioni 1.5 walio chini ya miaka mitano ufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa nimonia na kuufanya kuongoza kwenye vifo vya watoto duniani.