Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msaada wa Marekani kusadia waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Msaada wa Marekani kusadia waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limekaribisha msaada wa dola milioni 90 kutoka Marekani ambo pamoja na misaada mingine utasaidia waathiriwa wa mafuriko nchini Pakistan.

Msaada huo utasaidia kutoa vyakula kwa mailioni ya wapakistan waliothirika na mafuriko. Msaada huo wa Marekani utatolewa kwa dola milioni 45 pesa taslimu na dola zingine milioni 45 kwa vyakula vikiwemo unga wa ngano na mafuta ya kupikia. Frances Kenney ni msemaji wa WFP mjini. (SAUTI