Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO latangaza kuwepo kwa majira ya baridi kwa muda wa miezi minne hadi sita ijayo

Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO latangaza kuwepo kwa majira ya baridi kwa muda wa miezi minne hadi sita ijayo

Shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO limetoa ripoti yake kuhusu majira ya EL NINO inayomaanisha majira ya joto na La Nina ambayo ni majira yaliyo na baridi.

WMO inasema kuwa kwa sasa majira ya La Nina yameanza kushuhudiwa katika maeneo ya Equatorial Pacific. Rupa Kumar Kolli ni mtaalamu na wmo

(SAUTI  RUPA KUMAR KOLLI)

Anasema kuwa sehemu zitakazo athirika na hali hii zinashauriwa athari zinazokuja kwa miezi ijayo