Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mataifa sita yaongoza ulimwengu kwenye teknolojia ya nishati safi

Mataifa sita yaongoza ulimwengu kwenye teknolojia ya nishati safi

Mataifa sita yakiwemo Japan, Marekani, Ujerumani, Korea Kusini, ufaransa na Uingereza yametajwa kama mataifa yanayoongza kwenye uvumbuzi wa teknolojia isiyochafua mazingira.