Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali imejidhatiti kuhakikisha kura ya maoni Sudan:Taha

Serikali imejidhatiti kuhakikisha kura ya maoni Sudan:Taha

Kwa upande wake makamu wa Rais wa Sudan Ali Osman Taha alizungumza kwenye mkutano maalumu kuhusu hali ya nchi yake amesema wanajidhatiti na jukumu lao.

Makamu huyo wa Rais ameuhakikishia mkutano kwamba nia yao ya kuhakikisha kura ya maoni inafanitika kwa amani , uhuru na usalama iko palepale kwa kuzingatia makubaliano ya amani ya CPA na msaada wa jumuiya ya kimataifa.

(SAUTI OSMAN TAHA-SUDAN)