Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Maisha ya mamilioni ya Wasudan yako njia panda:Obama

Maisha ya mamilioni ya Wasudan yako njia panda:Obama

Maisha ya mamilioni ya watu wa Sudan yako katika utata na juhudi zinahitajika kuhakikisha usalama na amani.

Naye Rais Barack Obama wa Marekani akizungumza kwenye mkutano wa hali ya Sudan ameuambia mkutano huo na viongozi wa Sudan kuwa maisha ya mamilioni ya watu wa Sudan yako njia panda na kile kitakachojitokeza siku zijazo kitaamua hatma ya watu hao.

(SAUTI BARACK OBAMA)