Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kongamano la ISOCARP limeanza Nairobi Kenya

Kongamano la ISOCARP limeanza Nairobi Kenya

Kongamano hilo linalofanyika kwenye makao ya umoja wa mataifa linajadili mipangilio ya mijini na njia za kukabilina kuendelea kuongezeka kwa watu wanaohamia mijini kutoka vijiji.

Kongamano hilo pia linaangalia njia bora ya serikali kuweza kutambua matatizo ya ukuaji wa miji na jinsi ya kukabiliana nayo. Kutoka Nairobi Jason Nyakundi na taarifa zaidi.