Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Uhuru wa mahakama una umuhimu wa kulinda wananchi kutokana na kuzuiliwa kinyume na sheria: Armenia

Uhuru wa mahakama una umuhimu wa kulinda wananchi kutokana na kuzuiliwa kinyume na sheria: Armenia

Kundi la Umoja wa Mataifa linachunguza kuzuiliwa kinyume na sheria limeishauri serikali ya Armenia kuhakikisha kuwa uhuru wa mahakama zake umelindwa wakati wa maamuzi ya kesi ili kuhakikisha kuwawananchi wake wanatendewa haki kisheria.