Skip to main content

Kamati inayehusika na kuangalia usalama wa chakula duniani yawateua wataalamu kutafuta njia ya kungamiza njaa

Kamati inayehusika na kuangalia usalama wa chakula duniani yawateua wataalamu kutafuta njia ya kungamiza njaa

Kamati inayohusika na usalama wa chakula duniani (CFS) imewateua wataalamu 15 watakaounda kamati itakayoongoza kundi la wataalamu wa hali ya juu watakaochangia maoni kuhusu hali ya chakula duniani pamoja na lishe kama moja ya njia ya kuhakikisho kuwepo kwa chakula duniani.