Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Watu mashuhuri wajiunga kushinikiza hatua kuchukuliwa kuafikia malengo ya maendeleo ya milenia

Watu mashuhuri wajiunga kushinikiza hatua kuchukuliwa kuafikia malengo ya maendeleo ya milenia

Watu mashuhuri wakiwemo wacheza filamu, wanamuziki na wanariadha na wengine wengi wanashirikiana kushikiza hutua kuchukuliwa kukabiliana na umaskini, njaa na magonjwa kabla ya mwaka wa mwisho wa kuafikiwa kwa malengo ya milenia huku ikiwa imesalia miaka mitano tu kabla ya mwaka 2015 ambao ni mwaka wa kuafikiwa kwa malengo ya milenia .