Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kenya imepata katiba mpya

Kenya imepata katiba mpya

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amewapongeza wa Kenya na viongozi wao kwa kuidhinisha katiba mpya siku ya Ijuma.

Rais Mwai Kibaki alitia saini katiba hiyo mpya wakati wa sherehe mjini Nairobi mbele ya maelfu ya wananchi wa viongozi kutoka mataifa jirani. Mwandishi wetu wa Nairobi Jason Nyakundi ana ripoti maalumu juu ya sherehe hizo.