Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil yatoa msaada wa dola milioni 1.2 kwa waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Brazil yatoa msaada wa dola milioni 1.2 kwa waathiriwa wa mafuriko Pakistan

Shirika la kuwahudumia wakimbizi la umoja wa wa mataifa UNHCR limekaribisha msaada wa dola milioni 1.2 uliotolewa na serikali ya Brazil kupitia kwa shirika la UNHCR na lile la mpango wa chakula duniani kuwasaidia waathiriwa wa mafuriko nchini Pakistan.