Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mizozo ni kikwazo kwa kufikia malengo ya milenia UM

Mizozo ni kikwazo kwa kufikia malengo ya milenia UM

Miaka mitano kabla ya mwaka 2015 ambao ni mwaka wa wa kutimizwa malengo ya ya milenia ya umoja wa mataifa, suala hilo linaokekana kutatizwa na changamoto zikiwemo za huduma mbaya za kiafya, vifo na kuwepo kwa pengo katika kutimiza malengo hayo.

Amesema kuwa nchi zilizo kusini mwa Jangwa la sahara zimeshudiwa karibu asilimia 40 ya mizozo duniani ndani ya muongo uliopita kabla ya mwaka wa 2000 huku vifo vingi vikisababishwa na magonjwa pamoja na utapia mlo.