Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanachama 189 wa UM watakiwa kutimiza malengo ya milenia ifikapo 2015

Wanachama 189 wa UM watakiwa kutimiza malengo ya milenia ifikapo 2015

Umoja wa Mataifa unazihimiza nchizote 189 wanachama kutimiza malengo manane makuu ya maendeleo ya milenia ifikapo 2015

Malengo hayo yanayogusa masuala mbalimbali ni muhimu sana katika kupiga hatua ya maendeleo kwa nchi yoyote ile duniani.

Hata kama nchi hizo haziwezi kuyatimiza kwa asilimia 100 basi zinatakiwa kufikia angalau nusu, yaani asilimia 50 katika miaka mitano ijayo. Sikiliza taarifa inayotanabaisha malengo hayo.