Skip to main content

Maeneo mapya ya urithi wa dunia yaorodheshwa na shirika la UNESCO

Maeneo mapya ya urithi wa dunia yaorodheshwa na shirika la UNESCO

Shirika la umoja wa mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO ambalo linahusika na uhifadhi wa maeneo ya kitamadamu duniani limeyaorodhema maeneo limeorodhesha maeneo mapya ya urithi wa dunia.

Maeneo hayo ya kitamudi yapo nchini Vietnam , china, Tajikistan , Ufaransa , Uholanzi , Brazil na Mexico kama maeneo ya kitamaduni. Kwa sasa kamati ya shirika hilo inakutana katika mji wa Brasilia nchini Brazil kuchambua maeneo ambayo yanaweza kuorodheshwa kama maeneo ya kale na pia kuangalia yale maaneo yaliyo kwenye hatari ya kuangamia.

 Maeneo mengine yaliyooredheshwa ni pamoja na kisiwa cha ufaransa cha Reunion cha ekari laki moja chenye milima ya volcano kilicho kusini magharibi mwa bahari ya Hindi.