Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Burundi imehitimisha mchakato wa uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

Burundi imehitimisha mchakato wa uchaguzi uliosusiwa na wapinzani

Baada ya kampeni, hekaheka na upigaji kura kwa miezi miwili sasa Burundi imefunika ukurasa wa uchaguzi mkuu wiki hii.

Umoja wa Mataifa unasema Burundi ikilinganishwa na miongo miwili iliyopita inastahili pongezi kwa kujitahidi kuelekea demokrasia. Ungana na Ranadhani Kibuga katika tathmini nzima ya uchaguzi huo.