Uwekezaji wa kimataifa unaweza kusaidia kukabiliana na gesi ya cabon katika maendeleo ya kiuchumi: UNCTAD

Uwekezaji wa kimataifa unaweza kusaidia kukabiliana na gesi ya cabon katika maendeleo ya kiuchumi: UNCTAD

Ripoti hiyo inasema ingawa majadiliano ya kimataifa ya mabadiliko ya hali ya hewa yanakwenda polepole masuala yanayotia hofu katika nchi zinazoendelea ambayo ni ya kifedha na teknolojia yanaweza kushughulikiwa kupitia mipango mizuri ya maeendeleo ya kimataifa na uwekezaji wa rasilimali.

Serikali hizo zinaweza kufuata njia ya uwekezaji ulio safi kwa kuchagiza mipango ya uwekezaji wa ndani zaidi japo na wa kimataifa ni muhimu pia. Akitoa ripoti hiyo KM wa UNCTAD Supachi Panitchpakdi amesema:

(SAUTI YA SUPACHAI PANITCHPAKDI)