Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msichana wa miaka 15 ana mtazamo gani na maisha?matatizo na zipi ndoto zake?

Msichana wa miaka 15 ana mtazamo gani na maisha?matatizo na zipi ndoto zake?

Miaka 15 baada ya mkutano wa kihistoria wa kimataifa uliofanyika Beijing China dunia inatathimini ni mafanikio gani yamepatikana hadi sasa.

Moja ya mafanikio hayo ni wasichana waliozaliwa mwaka huo ambao sasa wana miaka 15, wakisikia watu wanazungumzia harakati za ukombozi wa mwanamke wanapata picha gani?.

Na je matatizo yanayowakabili ni yapi, wanamatarajio gani? na serikali zao zinawajibika vya kutosha kukidhi mahitaji yao. Jason Nyakundi amekutana na baadhi ya mabinti hao mjini Nairobi ungana naye kwenye makala hii.