Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazil imeonya mkutano wa upokonyaji silaha juu ya vikwazo vya kutimiza malengo

Brazil imeonya mkutano wa upokonyaji silaha juu ya vikwazo vya kutimiza malengo

Brazili inasema kwa muda mrefu mkutano wa upokonyaji silaha umekuwa ukishindwa kutimiza malengo hasa katika masuala muhimu kama uwezo na usalama.

Mkurugenzi wa mashirika ya kimataifa wa Brazili ameyasema hayo wakati akizungumza na wajumbe kwenye mjadala wa mapendekekezo ya nchi yake ambayo ndiyo raia wa mkutano huo.

Amesema masuala ya kujilinda yamekuwa kikwazo kwa kukabiliana na vitu kama malighafi za kutengeneza silaha, kuzuia mashindano ya silaha angani na kupokonya silaha za nyuklia.

(SAUTI YA CARLOS WA BRAZILI)