Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kura za Urais zinaendelea kuhesabiwa Burundi kukiwa na hofu ya usalama

Kura za Urais zinaendelea kuhesabiwa Burundi kukiwa na hofu ya usalama

Kura za uchaguzi wa Rais zinaendelea kuhesabiwa nchini Burundi huku kukiwa na wasiwasi baada ya jana usiku kutokea milipuko ya guruneti katika eneo lenye watu wengi.

Wakati huohuo vyama vya upinzani nchini humo vimesema havitatambua matokeo ya Urais katika uchaguzi mkuu wa jana ambapo Rais Pierre Nkurunziza alikuwa mgombea pekee. Kutoka Bujumbura mwandishi wetu Ramadhani Kibuga anatuarifu.

(SAUTI RAMADHAN KIBUGA)