Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mahojiano na Lawrence Ndambuki kuhusu hamasa kwa vijana kulinda mazingira

Mahojiano na Lawrence Ndambuki kuhusu hamasa kwa vijana kulinda mazingira

Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kuwahamasisha vijana kutoka vyuo vikuu duniani kuhusiana na maswala ya mazingira umefanyika mjini New York.

Eneo la Afrika Mashariki iliwakilishwa na Lawrence Ndambuki mwanafunzi kutoka chuo kikuu cha Kenyatta mjini Nairobi, na alikuja kwenye studio zetu na alianza kwa kumwelezea Abdullahi Boru umuhimu wa mkutano huu wa New york