Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nini umuhimu wa kongamano la kimataifa la uchumi lililomalizika Tanzania?

Nini umuhimu wa kongamano la kimataifa la uchumi lililomalizika Tanzania?

Baada ya siku mbili za majadiliano hatimaye kongamabo la kimataifa la uchumi limefunika ukurasa nchini Tanzania.

Miongoni mwa wazungumzaji katika kongamano hilo ni Dr Anna Tibaijuka mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la makazi UN-HABITAT nimezungumza naye na kwanza anafafanua umuhimu wa kufanyika kwa kongamano hilo.