Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

UM umeadhimisha miaka 65 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia

UM umeadhimisha miaka 65 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia

Leo mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa unaadhimisha miaka 65 tangu kumalizika kwa vita ya pili ya dunia.

Vita ambayo gharama zake haziwezi kuelezeka na athari zake zina machungu hadi leo.

Raia milioni 40 waliuawa na askari milioni 20 kupoteza maisha yao wengi sovieti wakati huo. Vita ya pili ya dunia ilikuwa ni mama wa vita zote na ilichagiza pakubwa harakati za uhuru na ukombozi katika hitoria ya dunia.

Kama anavyobaini Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon akizungumza katika hafla ya kumbukumbu hiyo