Seychelles imeanza kupambana na uharamia ulioingia katika pwani yake
Umbali wa taifa lililoko kwenye bahari ya Hindi la Seychelles umelifanya taifa hilo kulengwa na maharamia wa meli na nchi hiyo sasa inapambana na hali hiyo kwa kuanzisha korti ya kuwahukumu maharia hao, ikishirikiana na Umoja wa Mataifa.
Baada ya hali ya ulinzi kuongezwa katika pembe ya Afrika, ikiwemo nchi ya Somalia, maharamia hao wameeanza kuhamia upande wa Seychelles na kuanza kuvamia meli.
Kituo hich cha Sychelles kitakuwa cha pili barani Afrika baada ya kituo kama hicho kuanzishwa nchini Kenya, ili kuwahukumu washukiwa wa uharamia wa meli waliowahangaisha watu katika