UM na mashirika yake wako mstari wa mbele kupigania haki za wasichana

30 Aprili 2010

Wahenga walinena ukimkomboa mwanamke umeikomboa jamii na mwanamke huyu kabla hajkamilika lazima apitie usichana.

Katika makala yetu hii leo tunaangalia wasichana wenye umri wa miaka 15 ambao Umoja wa mataifa na mashirika yake mbalimbali, yanawapa kipaumbe cha kusikia maoani yao, ndoto zao na matarajio kutoka kwa wazazi, serikali na jamii kwa ujumla.

Lakini pia tunatanabahi mchango wao katika jamii na ni kwa nini wamekuwa katika hatari ya kutotimiza ndoto zao. Ungana nami Flora Nducha katika makala hii ambayo pia unaipata moja kwa moja kwenye tovuti yetu www.multmedia.org

 

♦ Kupata takwimu za waathirika vitani Ukraine bofya  hapa.
♦ Iwapo ungependa kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud na Twitter