Facebook Twitter Print Email
Shirika la afya duniani WHO limepeleka ujumbe wa wataalamu kuchunguza kuzuka kwa polio kusini magharibi mwa Tajikistan katika maeneo ya mpakani na Afghanistan na Uzbekistan.