Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Leo ni Siku ya Kimataifa ya vitabu na haki miliki

Leo ni Siku ya Kimataifa ya vitabu na haki miliki

Leo ni siku ya kimataifa ya vitabu na haki miliki. Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO, linasherehekea siku hii kwa kuainisha haja ya kulinda ubunifu usikumbwe na uharamia.