Skip to main content

WHO inafafanua uwezekano wa athari za moshi wa volkano kwa afya za watu

WHO inafafanua uwezekano wa athari za moshi wa volkano kwa afya za watu

Shirika la afya duniani WHO linasema vumbi la mlipuko wa volcano nchini Iceland halina athari za kiafya isipokuwa tuu kwa wale wanaozunguka eneo la volcano hiyo.

Hata hivyo katika nchi zingine za Ulaya jivu la volkano hiyo halijafika ardhini katika maeneo ya watu. Akizungumza mjini Geneva leo Dr Carlos Dora wa WHO amesema hawajatoa tahadhari yoyote au onyo kuhusu jivu la volkano hiyo