Facebook Twitter Print Email
Wanajeshi wane wakulinda amani wa vikosi vya muungano wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika UNAMID waliotoweka Nyala Kusini mwa Darfur siku ya Jumatatu bado hawajapatikana.