Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Hali ya wasiwasi bado imetanda Kyrgystan, WHO na mashirika mengine wanatoa msaada

Hali ya wasiwasi bado imetanda Kyrgystan, WHO na mashirika mengine wanatoa msaada

Hali ya wasiwasi bado inatawala nchini Kyrgystan kufuatia machafuko ya wiki hii na mapinduzi ya serikali. Shirika la Aya Dniani WHO linapeleka msaada wa dharura wa madawa kwa ombi la wizara ya afya ya nchi hiyo ili kuwatibu watu 1500 wanaohitaji msaada.